MELI YA WATALII KUTOKA OMAN YAWASILI MOMBASA.

0
1887
Waziri wa Utalii Najib Balala akiwapokea watalii.

BY REPORTER.

Meli  ya kifahari iliyo na raia 500 wa oman imetia nanga katika bandari ya mombasa  kwenye hatua ambayo imewasisimua watu katika sekta ya utalii huku kukiwa na mihemko ya kisiasa ambayo imeathiri uchumi wa nchi hii.

Waziri wa mafuta na gesi wa oman Dkt .Mohammed Al Rumahir anasema ziara hiyo inanuia kimaisha sekta ya utalii nchini humo napia kuimarisha uhuino kati ya nchi hizi mbili.

Ujumbe uliokuwa na msisimuko ,ukiongozwa na waziri wa utalii Najib Balala na naibu gavana wa kauti  ya Mombasa William Kingi ulikuweo bandarini kuwakaribisha wageni.

Waziri Balala alikariri haja ya kuleta uthabiti hapa nchini kutokana na zogo la kisiasa  linajiri kwa sasa ambalo linaathiri uchumi hii, pia waliokuwepo ni balozi wa oman hapa nchini salah ulaiman Al harti na balozi wa Kenya nchini oman Sheikh mohammed Dor .

 

LEAVE A REPLY